Sunday 29 March 2015

ABDUL BONGE WA TIP TOP CONNECTIONS AFARIKI DUNIA


Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia March 28.
bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake

Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema kuwa bado hajafahamu chanzo cha kifo ila amefariki ghafla usiku huu akiwa nyumbani na msiba upo Manzese Tip Top
RIP Abdu Bonge#Repost from @madeeali
Dah et nlisema Ata Abdul bonge siku yako aijulikali...dah Leo imejulikana..nsingekua mimi bila wewe...nlijivunia kua nawewe..nlijiamin popote pale..ww ndio baba wa mziki wangu...Asa nani atanielekeza nkikosea kuandika?nenda My Godfather...ntakuja.

Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa jana March 28.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA