Tuesday 24 March 2015

HUYU NDIYE MWANUMEE MWENYE SHAPE LA KIDADA..NI SHIDA


Kijana Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.
Kijana huyo akiwa katika mapozi mbalimbali.
MICAH ni mwanaume lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari.
Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi. 
Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA