Thursday 26 March 2015

YANGA YAZIDI KUJICHIMBIA KILELENI,

 Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas
Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika Uwanja wa Taifa leo.
Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira.
 Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.
 Damas Makwaya akimtoka Danny Mrwanda.
 

 Wachezaji wa Yanga wakishagilia baada ya kuifunga JKT Ruvu.
 Raha ya ushindi.
 Uleeeeeeeeeeeeee.

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimpigia saluti Mrisho
Ngasa mara baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya JKT Ruvu katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1.
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA