Thursday 9 April 2015

LIVERPOOLYAFUZU KUCHEZA NUSU FAINALI KOMBE LA FA NA ASTON VILLA APRIL 19' 2015


Wachezaji wa timu ya Liverpool wakipongezana baada ya kuifunga Blackburn bao 1-0 na kufanikiwa kusonga mbele hadi hatua ya nusu fainali ya kombe la FA.
Kwa matokeo hayo, Liverpool watacheza nusu fainali na Aston Villa, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Wembley jumapili ya tarehe 19 April 2015.



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA