Thursday 9 April 2015

RONALDO APIGA BAO LA 300 MADRID IKIIANGUSHA RAYO BAO 2-0

Ronaldo amefunga bao lake la 300 baada ya kuichezea Real Madrid mechi 288.


Alifunga bao lake la 300 wakati Real Madrid ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Rayo Valcono iliyokuwa nyumbani katika mechi hiyo ya La Liga.

Rayo Vallecano: Cristian, Tito, Amaya, Zé Castro, Nacho, Fatau, Trashorras, Embarba, Kakuta, Bueno, Manucho
Subs: Cobeno, Miku, Insua, Ba, Aquino, Ruiz Jozabed, Lica
Goals: NONE
Booked: Tito, Nacho, Cobeno, Amaya
Real Madrid: Casillas; Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo; Kroos, Modric, James; Cristiano, Benzema, Bale
Subs: Navas, Coentrao, Hernandez, Nacho, Jese, Isco, Illarramendi
Goals: Ronaldo (68), Rodriguez (73)
Booked: Rodriguez, Ronaldo, Kroos, Bale, Carvajal






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA