Wednesday 1 April 2015

MUHAMMADU BUHARI ASHINDA KATIKA UCHAGUZI WA NIGERIA


Kiongozi wa zamani wa kijeshi Muhammadu Buhari amekuwa mgombea wa kwanza wa chama cha upinzani kushinda uchaguzi wa urais nchini Nigeria.

Rais aliyemadarakani Goodluck Jonathan amempigia simu Jenerali Buhari jana usiku kumpongeza kwa ushindi na kukubali kushindwa.

Matokeo rasmi yanaonyesha Jenerali Buhari anaongoza kwa kupata kura zaidi ya milioni mbili dhidi ya Jonathan.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA