Thursday, 23 April 2015

OKWI APIGA HATRIK SIMBA IKIIRARUA MGAMBO JKT 4 -0

 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akitoa maelekezo kwa Mohamed Hussein.
Wachezaji wa Simba wakishangailia baada ya kupata bao.
Mashabiki wa Simba wakifurahia matokeo ya 4-0 baada ya timu yao kuifunga Mgambo Shooting.
Mashabiki wa Simba wakimpongeza Okwi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA