Wednesday 15 April 2015

REAL MADRID ,ATLETICO MADRID HAKUNA MBABE






Real Madrid imeshindwa kufurukuta katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Ikiwa ugenini dhidi ya wapinzani wake wakubwa Atletico Madrid, imeshindwa kufurukuta baada ya sare ya 0-0.

Madrid inalazimika kusubiri mechi ya marudiano ikiwa nyumbani Santiago Bernabeu.

Madrid ndiyo mabingwa watetezi na Atletico ndiyo waliyocheza nayo fainali msimu uliopita na kubeba kombe hilo kwa mara ya kumi.






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA