Tuesday, 23 June 2015

NI HARUSI TU MWAKA HUU!! WANASOKA KIPRE TCHETHCE NA ASHLEY YOUNG WAFUNGA NDOA NA WAPENZI WAO :CHEKI PICHA HAPA


Nimezipata hizi picha kutoka kwenye harusi ya mchezaji Kipre Tchetche ambae ameuaga ukapela na kujiunga na club ya wanandoa. Hongera kwake na shemeji yetu.



youg2
Ashley Young amefunga ndoa na mpenzi wake ambae walikua pamoja tangu wapo watoto shuleni. Young aliwai kughailisha siku mbili kabla ya harusi yao mwaka 2011.Shemeji yetu anaitwa Nicky Pike unaambiwa wawili hawa hawajaanza kupenda wakati Ashley amekua superstar, mapenzi yao yapo tangu kitambo. Harusi yao imehudhuliwa na watu mbalimbali akiwe Fabrice Muamba.

young1
young3
young4

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA