Wednesday, 17 June 2015

Ratiba mpya ya uandikishaji wapiga kura Moshi - Kilimanjaro


16/6-22/6/2015 kata za Bondeni, Kilimanjaro, Kiusa,Korongoni na Soweto. 

23-29/6/2015 Bomambuzi, Pasua, Shirimatunda, Kaloleni, Mawenzi na Karanga. 

30/6/2015 -6/7/2015 Kiborloni, Msaranga, Ng'ambo, Mjimpya na Miembeni. 

7/7/2015 -13/7/2015 Rau, Njoro, Majengo,Longuo na Mfumuni. 

Tafadhali zingatieni ratiba ya kujiandikisha na ujiandikishe kwa wakati. 

Nenda kajiandikishe kupata kitambulisho ni haki yako na kupiga kura pia chagua kiongozi atakaeleta maendeleo katika jamii yako.
-KING JOFA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA