Tuesday, 30 June 2015

YAONE MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2015 BOFYA HAPA



OWM-TAMISEMI-Matokeo ya Kujiunga na Kidato Cha Tano Juni 2015


Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.


Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 na wavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansi Hisabati na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomo ya sanaa na biashara .


Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha Tano 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18,Julai 2015.


BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO JULAI 2015.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA