Tuesday 4 August 2015

BENTEKE AANZA NA BAO LIVERPOOL IKIISHINDA SWINDON 2-1 KIRAFIKI


Mshambuliaji mpya katika kikosi cha Liverpool aliyesajiliwa toka Aston Villa ameanza kuonesha makali yake katika timu hiyo ple alipofunga bao lake la kwanza kwa umaridadi mkubwa katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jumapili wikiendi iliyopita.

Katika mchezo huo ambapo kikosi cha Liverpool klilitawaliwa na kinda wengi pia mchezaji roberto Firminho aliyesajiliwa alipata nafasi ya kuonekana akisakata kabumbu safi na Liverpool ilishinda 2-1.

Meneja wa Liverpool Brendan Rogers amesema sasa kikosi chake kipo kamili kuivaa Stoke City jumapili hii wakati pazia la ligi kuu soka nchini Uingerza litakapofunguliwa huku timu hiyo ikiwa na kumbukumbu ya kipigo cha mbwa mwizi ilichopata toka kwa Stoke katika mechi ya mwisho ya msimu uliopita.

SWINDON: Vigouroux, Ormonde-Ottewill (Brophy 80 mins), Williams (Barry 87), Stewart (Rodgers 55), Thompson (Eckersley 55), Kassim (Balmy 85), Turnbull (Branco 62), Byrne (Whittingham 81), Traore (Robert 34), Obika (Cooke 85), Hylton (Dayton 73)
Subs not used: Belford, Randall, Marshall
Goal: Obika 63

LIVERPOOL: Bogdan (Fulton 67), Arnold (Cleary 58), Toure, Sakho, Moreno, Can (Chirivella 76), Lucas, Allen (Joao Carlos 13), Markovic, Benteke (Ojo 68), Firmino (Kent 68)
Sub not used: Maguire
Goals: Benteke 48, Ojo 87  
Attendance: 14,591






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA