EUROPA: DORTMUND YATOKA NYUMA 3-0, YAIBUKA NA USHINDA WA 4-3
Waliokuwa uwanjani, waliokuwa wanatazamana mechi hiyo cjana kwenye runinga, wakaamini wakongwe hao wanakula 1-0.
Timu ya Borussia Dortmund ilitoka nyuma kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Ballklubb ndani ya dakika 22 na kuibuka na ushindi katika mchezo wa Ligi ya Uropa hapo jana.
Katika mchezo huo timu hiyo ya Ujerumani ikicheza kwenye uwanja wa nyasi bandia iliamka na kupachika mabao 4 na kubadili matokeo kuwa 4-3.
Nyota wa Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mabao mawili, Shinji Kagawa moja na Henrikh Mkhitaryan kufunga kwa kichwa bao la ushindi.
Soka lina mambo yake, hauwezi kuamini mambo yalibadilika na Dortmund kusawazisha zote na kuongeza moja, mwisho wakaibuka na ushinda wa mabao 4-3.
Marco Reus, Jakub Blaszczykowski naLukasz Piszczek ndiyo waliibuka mashujaa kwa kupiga mabao hayo manne na kuikoa Dortmund kwenye Europa League.
0 comments:
Post a Comment