Sunday 30 August 2015

JOSE MOURINHO ATISHIA KUWAPUNGUZA WACHEZAJI NYOTA WAKE WATATU


Kocha Jose Mourinho ametishia kuwapunguza wachezaji nyota wake watatu ambao amewalaumu kuchangia Chelsea kupata kipigo jana kutoka kwa Crystal Palace, kutokana na kucheza chini ya kiwango.

Chelsea ilijikuta ikilala nyumbani Stamford Bridge kwa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace, baada ya Joel Ward kuifungia timu yake bao la pili na la ushindi.

Kufuatia kipigo hicho Mourinho amesema kuwa anaanza kuishiwa na uvumilivu dhidi ya wachezaji wake wawili ama watatu kutokana na kutofanya vizuri dimbani.
                                       Kocha Jose Mourinho akiwa kwenye pozi la kukerwa

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA