Monday 17 August 2015

KAMA "TMK" MAN CITY YAIPIGA CHELSEA TATU BILA


Chelsea imekiona cha moto leo baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Man City waliokuwa wenyeji wake katika mechi ya pili ya Ligi Kuu England.



Sergio Aguero, Vicent Kompany na Fernandinho ndiyo waliofanya kazi kubwa ya kupachika mabao.

Manchester City: Hart, Sagna, Mangala, Kompany, Kolarov, Toure, Fernandinho, Navas, Silva, Sterling, Aguero. 

Subs: Caballero, Zabaleta, Clichy, Nasri, Demichelis, Bony, Iheanacho
Chelsea: Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard; Diego Costa.
Subs: Blackman, Zouma, Mikel, Loftus-Cheek, Cuadrado, Falcao, Remy.
Referee: Martin Atkinson

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho alionekana mnyonge asiyekuwa na la kusema wakati Chelsea ikipoteza kwa idadi hiyo na kuifanya kuwa na pointi moja tu katika mechi mbili za Ligi Kuu England.














Kiungo wa Chelsea Ramires akishangalia bao alilofunga muda mfupi kabla  ya mwamuzi kulikataa kwa kugezo cha kuotea








Company akishangilia mara baada ya kupachika bao la pili


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA