Tuesday 18 August 2015

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MH. AMOS MAKALLA ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI JIJINI MWANZA



Katika mkutano na bodi na wafanyakazi amewataka kutoa huduma kwa wateja kwa kiwango cha juu ikiwemo kusikiliza matatizo ya wateja na kuyashughulikia kwa wakati.
 
Aidha ameitaka menejimenti kuhakikisha mkandarasi wa kujenga mradi mkubwa wa kuboresha huduma ya maji jiji la Mwanza hususan maeneo ya miinuko ananza kazi novemba kama ilivyopangwa.
 
Mradi huo mkubwa unagharimu shilingi bilioni 110 na ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania. Shirika la maendeleo la Ulaya na ufaransa
Kukamilika kwa mradi huu kutamaliza tatizo la maji jiji la Mwanza

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA