Sunday 9 August 2015

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI


Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi.
                  Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji.
                    Askari Polisi wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza Karate.
Askari Polisi wahitimu wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti uharifu.
               Askari Polisi Wahitimu wakionesha mbinu mbalimbali walizofundishwa.
Askari wahitimu wa kike wakionesha namna ambavyo walivyofundishwa matumizi ya Bastola.
 
Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku hiyo.
Mkuu wa Chuo cha Polisi ,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA