Monday 10 August 2015

UKAWA YALETA MAFURIKO DAR!! MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MH. LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS


Mgombea wa Nafasi ya Urais Kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu za Urais na Ofisa wa tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, hii leo alipofika kwenye Ofisi hizo Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Umati wa wafuasi wa Chadema uliofika kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi ili Kumsindikiza Mgombea wa Nafasi ya Urais kupitia   CHADEMA,Edward Lowassa hii leo.(VICTOR)
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu nae alikuwepo kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais kupitia CHADEMA.
 
Mamia ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( UKAWA ) waliojitokeza kumsindikiza mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), Mh. Edward Lowassa kuchukua fomu ya kuwania urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( Nec ) jijini Dar es Salaam leo.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA