Wednesday 16 September 2015

BEKI MANCHESTER UNITED AVUNJIKA MGUU


Beki Luke Shaw ameumia vibaya baada ya kuvunjika mguu.



Shaw amevunjika mguu wakati akiwania mpira na mlinzi wa PSV ya Uholanzi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, hatua ya makundi.


Baada ya ajali hiyo mbaya, Shaw alitolewa nje huku mashabiki wakisimama na kumpigia makofi, ikiwa ni sehemu ya kumpa pole na kumuonyesha unamichezo.


KUPATA MATOKEO YA MECHI ZOTE BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA