Wednesday 16 September 2015

MANCHESTER UNITED YAPOKELEWA CHAMPIONS LEGUE KWA KIPIGO CHA 2-1


Manchester United,NDIO NANII???   lakini sio imara! Maana imepiteza ugenini dhidi ya PSV ya Uholanzi.


Pamoja na kutangulia kupata bao kupitia Memphis Depay, imejikuta ikilala kwa mabao 2-1.



Depay ndiye alianza kuiadhibu timu yake ya zamani kabla ya wenyeji hao kuchangamka na kutupia bao mbili.


Man United walionekana kuchamka katika kpindi cha kwanza lakini mambo yakawa hovyo kipindi cha pili.


Kukosekana kwa Wayne Rooney ambaye ni mgonjwa kulionekana ni tatizo hasa katika safu ya ushambuliaji.






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA