Wednesday 16 September 2015

DI MARIA APIGA BAO PSG IKIIMALIZA MALMO 2-0


Ulifikiri Angel Di Maria ‘kwishney’, basi ulijidanganya baada ya kuisaidia timu yake ya PSG kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malmo ya Sweden katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Di Maria alifunga bao la kwanza katika dakika ya 4 kabla yaEdnson Cavani kufunga la pili katika dakika ya 61.


PSG ikiwa nyumbani jijini Paris, Ufaransa ilipoteza nafasi nyingi dhidi ya timu hiyo ya Malmo iliyomkuza Zlatan Ibrahimovich kisoka kabla ya kuhamia Ajax.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA