PICHA :FLOYD MAYWEATHER AKIMTEMBEZEA KICHAPO ANDRE BERTO
07:42 |
No Comments |
Kumaliza career yake ya boxing Mayweather alimchagua Andre Berto kucheza nae pambano la mwisho ambalo ni la 49. Kama ilivyotegemewa na wengi kwamba lazima Berto angechezea kichapo basi imekua hivyo hivyo na Mayweather amefikia 49-0 na kumaliza career yake bila kupigwa na boxer yoyote.Japokuwa watu bado hawajafurahia michezo 49, wanasisitiza kumaliza kwa michezo 50 ndio rekodi nzuri. Mayweather mwenyewe anaendelea kusisitiza kwamba huu ndio mchezo wake wa mwisho kwenye boxing.Karatasi ya takwimu za mchezo huo umeonyesha jinsi gani Mayweather amecheza vizuri na kushinda bil ubishi.
Related Posts:
LIVERPOOL YAANZA VYEMA UGENINI KWA KUICHAPA ARSENAL 4:3 Kocha wa Liverpool Klopp akisherekea kwa mtindo wa aina yake pamoja na wachezaji wake mara baada ya kupata bao la nne Timu ya Liverpool inayoshir… Read More
MOURINHO AANZA KWA USHINDI,ZLATAN AKIFUNGUA AKAUNTI YA MABAO Zlatan Ibrahimovic amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza wakati Manchester United ikiibuka na ushindi wa magoli 3-1 d… Read More
KUFUZU UEFA::SERGIO AGUERO APIGA HAT-TRICK ,MAN CITY IKISHINDA 5:0 Sergio Aguero amefunga magoli matatu yaani hat-trick wakati Manchester City ikiichakaza magoli 5-0 Steaua Bucharest katika mchezo wa kwa… Read More
GUARDIOLA AANZA NA USHINDI EPL DHIDI YA SUNDERLAND Kocha Pep Guardiola amepata ushindi wake wa kwanza baada ya Paddy McNair kujifunga dakika za mwisho na kuipatia Manchester City ushindi wa magoli 2… Read More
CHELSEA WAANZA VYEMA MBIO ZA KUWANIA UBINGWA LIGI KUU ENGLAND Goli la dakika za mwisho la Diego Costa limempatia kocha Antonio Conte ushindi usiotarajiwa akiwa Meneja wa Chelsea wakati wa mchezo wao wa kwanz… Read More
0 comments:
Post a Comment