Monday 12 October 2015

BIG SAM AREJEA ENGLAND KUCHUKUA KAZI YA KUINOA SUNDERLAND

Kocha Sam Allardyce ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Manchester Airport  akiwa tayari kurejea Ligi Kuu England.


Allardyce ,60, maarufu kama Big Sam ametua kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Sunderland ambacho kilishaanza mazungumzo naye.

Sunderland ilimfungashia virago kocha wake kuonekana hana mwenendo mzuri.


Big Sam alilazimika kuahirisha mapumziko yake nchini Hispania na kurejea nchini England kwa ajili ya kazi hiyo.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA