UEFA::ARSENAL YAICHAPA DINAMO 3-0
Mesut Ozil akishangilia baada ya kuiandikia Arsenal bao la kwanza |

Kama ulidhani Arsenal imelala Ligi ya Mabingwa Ulaya, basi ulijidanganya, maana imeitandika Dinamo Zagreb kwa mabao 3-0.
Ikiwa
nyumbani Emirates jijini London, Arsenal imeibuka na ushindi huo wa
mabao manne yaliyofungwa na Mesut Ozil, Alexis Sanchez aliyefunga
mawili.
0 comments:
Post a Comment