Wednesday 25 November 2015

MESSI ,SUAREZ WATUPIA MBILI BARCELONA IKIBURUZA AC ROMA 6-1


Barcelona sasa haishikiki, kama unabisha waulize AS Roma ya Italia.


Baada ya kuitwanga Real Madrid mabao 4-0 katika mechi ya La Liga, leo imeangushia kipigo AS Roma cha mabao 6-1 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Luis Suarez scores with a volley
Mabao ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi na Luis Suarez ambao kila mmoja amefunga mawili, Gerard Pique na Adriano kila mmoja akafunga moja.

Eden Dzeko alifunga bao pekee la Roma lakini akakosa kufunga mkwaju wa penalti kama ilivyokuwa kwa Neymar.



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA