LEICESTER CITY YAITANDIKA CHELSEA 2-1 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
Mshambuliaji Jamie Vardy (kulia) akishangilia na Riyad Mahrez (kushoto) baada ya wote kuifungia Leicester City katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power.
Bao la Chelsea lilifungwa na Loic Remy na sasa Leicester City inarejea kileleni mwa Ligi Kuu ikifikisha pointi 35 baada ya kucheza mechi 16, Arsenal yenye pointi 33 za mechi 16 pia, inateremka nafasi ya pili, wakati Manchester City ya tatu kwa pointi zake 32 na Man United inabaki nafasi ya nne kwa pointi zake 29, wote wamecheza mechi 16 .

0 comments:
Post a Comment