Sunday 20 December 2015

LIVERPOOL YAANGUKIA PUA LIGI KUU


Ighalo stoops to head the ball past Bogdan late on to seal the victory as Watford moved to within a point of the Premier League top fourLiverpool imeshindwa kufuta jinamizi la vipigo katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kujikuta ikipoteza mchezo dhidi ya Watford kwa jumla ya mabao matatu kwa bila.
 
Mshambuliaji wa Watford, Odion Ighalo akifumua shuti mbele ya beki wa Liverpool, Martin Skrtel kuifungia bao la pili dakika ya 15 timu yake katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Watford yamefungwa na Nathan Ake dakika ya tatu Ighalo tena dakika ya 85.
 
MSIMAMO WA EPL KABLA YA MECHI YA ARSENAL VS MAN CITY
 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA