Sunday 20 December 2015

SUAREZ ,MESSI WAIPA BARCELONA UBINGWA WA DUNIA WA VILABU

Barcelona goalscorers Luis Suarez (centre) and Lionel Messi (right) celebrate with Neymar (left) during their 3-0 win over River Plate
Nahodha wa Barcelona, Andres Iniesta akiwa ameshika Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia walilotwaa leo baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0 mjini Yokohama, Japan. Mabao ya Barca yamefungwa na Luis Suarez mawilki na Lionel Messi moja.


Hii ni mara ya tano kwa Barcelona kutwaa taji hilo la heshima kwa vilabu duniani.

Suarez made it 2-0 to the La Liga and Champions League winners with 49 minutes played with a well placed shot
Lionel Messi
Messi akiwatoka mabeki wa River Plate katika pambano hilo


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA