LIVERPOOL YASHIKWA SHATI NA NEWCASTLE UNITED
Hii ndiyo raha ya soka, unayemuona mnyonge, ndiye
anayeangusha kigogo.
Hii imetokea wakati Newcastle ilipoitwanga
Liverpool kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu england iliyopigwa kwenye
Dimba la Saint James Park.
Mfungaji wa mabao yote mawili akishangilia kwa kuonesha alama ya idadi ya magoli aliyofunga. |
0 comments:
Post a Comment