MESSI ABEBA TUZO YA MSHAMBULIAJI BORA LA LIGA
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi amebeba tuzo ya mshambuliaji bora wa La Liaga.
Messi ameshinda tuzo hiyo akiwaangusha washambuliaji wengine wawili alioingia nao fainali.
Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na Luis Suarez anayekipiga naye Barcelona, ndiyo walikuwa wakichuana naye.
Messi akionekana mtulivu katika tuzo hizo zilizofanyika jijini Barcelona, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa ushirikiano wa juu uliomuwezesha kutwaa tuzo hiyo.
Messi na Ronaldo, pia watachuana vikali kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon D'or.
0 comments:
Post a Comment