.
Licha ya kuwa imeishafuzu katika ligi ya mabingwa ulaya
hatua ya 16 bora, lakini Madrid haikusita kutoa adhabu kali kwa kuichapa malmo
ya sweden kwa mabao 8-0 huku Cristiano akifunga mabao manne, karim Benzema
akatupia tatu na kuiwezesha timu hiyo ya hispania kufunga mabao mengi zaidi.
0 comments:
Post a Comment