Tuesday 5 January 2016

AZAM ,MTIBWA HAKUNA MBABE KOMBE LA MAPINDUZI

Winga wa Mtibwa Sugar, Shija Kichuya akimtoka beki wa Azam FC, David Mwantika katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka 1-1
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Muzamil Yassin akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Azam FC jana
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi akitoa pasi kwa mchezaji mwenzake 
Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi'akipasua katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA