BALOZI WA NORWAY HAPA NCHINI AWATUNUKU WAHITIMU CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
Baadhi ya wahitimu wa fani ya Uandisi Mitambo wakifurahia mara baada ya kutunukiwa Stashahada zao |
Wahitimu wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali |
Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha(ATC) akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wanaobaki. |
Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad (kulia)akipokea zawadi kutoka idara ya Uandisi Madini . |
Balozi Hanne -Marie Kaarstad akifurahia kazi za wanachuo alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa kwaajili yake. |
Wanachuo wanaobaki walionegesha mahafari hayo kwa bendera za kuvutia |
Balozi Hanne -Marie Kaarstad na Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Massika aliyevaa tai nyekundu wakipata maelezo kwenye idara ya Umwagiliaji . |
Furaha ya kuhitimu ilitawala |
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Massika(kulia)akifafanua jambo kwa mgeni rasmi. |
Balozi wa Norway ,Hanne -Marie Kaarstad (wa pili kushoto mbele)akiwa na wageni mbalimbali na Wakuu wa Idara mbalimbali za Chuo katika picha ya pamoja. |
Burudani kwa wahitimu ilikuwepo kunogesha mahafali hayo Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com 0713 821586,Arusha. |
0 comments:
Post a Comment