Friday 8 January 2016

SAMATTA MCHEZAJI BORA NDANI YA AFRIKA


12407463_1651933801734351_1469028646_n
Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo yaMchezaji bora anayechea soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.
12519253_440019409526035_1428626299_n
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA