Saturday 23 January 2016

WAZIRI MKUU. MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA BUNGE DODOMA


IMGS9504
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMGS9650
IMGS9514
Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah.
IMGS9545
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai.(P.T)
IMGS9586
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akitoa mada katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.
IMGS9684
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016.
IMGS9703
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMGS9704

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA