Friday 26 February 2016

BREAKING NEWS.. RAIS MAGUFULI ATOA TAMKO ZITO KWA MAWAZIRI AMBAO HAWAJAWASILISHA HATI ZA MALI.

Image result for WAZIRI MKUU NA RAIS MAGUFULI AKIONGEA KWA KALI

Rais Magufuli amewataka mawaziri 4 na naibu waziri mmoja kujaza na kuwasilisha fomu ya tamko la mali zao Sekritarieti ya Maadili kabla ya saa 12 jioni ya leo vinginevyo watakuwa wamejifuta kazi.
Akiongea na waandishi wa habari leo, Waziri Mkuu Majaliwa amewataja mawaziri hao kuwa ni Charles Kitwanga, January Makamba, Augustine Mahiga na Joyce Ndalichako. Naibu Waziri ni Luhaga Mpina.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA