Sunday 28 February 2016

DOGO WA MAN UNITED AIPARURA ARSENAL

Mshambuliaji kinda wa miaka 18 wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika aa 29 na 32 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford.  

 Aaron Ramsey is surrounded by Manchester United trio Guillermo Varela, Rashford and Jesse Lingard early on in the first half
 
England striker Danny Welbeck pulls a goal back for Arsenal shortly before the half-time interval to get his side back in the game
Bao lingine la Mashetani Wekundu limefungwa na Ander Herrera dakika ya 65, wakati ya Washika Bundukin wa London yamefungwa na Danny Welbeck dakika ya 40 na Mesut Ozil dakikaya 69 .     

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA