Sunday 7 February 2016

EPL :LEICESTER CITY YAINYUKA MAN CITY, LIVERPOOL YABANWA NA SUNDERLAND

Robert Huth akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Leicester katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. 
Robert Huth (centre) gets in front of Manchester City defender Martin Demichelis in the six-yard box to put Leicester ahead
Bao lingine la Leicester ambayo inazidi kupaa kileleni kwa kufikisha poiniti 53 za mechi 25, ikifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 48 za mechi 25 pia, limefungwa na Riyad Mahrez, wakati la Man City limefungwa Sergio Aguero.


 ANFIELD

Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino akiifungia timu yake bao dakika ya 59 katika sare ya 2-2 na Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Adam Lallana, wakati mabao ya Sunderland yamefungwa na Adam Johnson na Jermain Defoe.
Sunderland manager Sam Allardyce (left) celebrates as his side battled back to earn a crucial point against Liverpool
Wachezaji wa Sunderland wakishangilia bao la kusawazisha,kushoto ni kocha wao maarufu "BIG SAM".  

Msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi za Jumamosi

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA