JUVENTUS YASHIKWA SHATI NA BEYERN MUNICHEN
Bayern Munich imelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji Juventus Uwanja wa Juve.
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba (kushoto) akimtoka Nahodha wa Bayern Munich, Philipp Lahm
Bayern
ilitangulia kwa mabao ya Thomas Muller dakika ya 43 na Arjen Robben
dakika ya 55, kabla ya Paulo Dybala kuifungia Juve dakika ya 63 na
Stefano Sturaro kusawazisha dakika ya 76.
Bayern
sasa wanaweza kusonga mbele hata kwa sare ya 0-0 au 1-1 katika mchezo
wa marudiano Ujerumani, kwani watanufaika na sharia ya mabao ya ugenini.
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba (kushoto) akimtoka Nahodha wa Bayern Munich, Philipp Lahm
| Dybala akishangilia mara baada ya kuipatia Juventus bao |


0 comments:
Post a Comment