Wednesday 24 February 2016

MESSI AIZAMISHA ARSENAL UWANJA WA EMIRATES


Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza. Anayemfuata ni mchezaji mwenzake, Luis Suarez.


MWANASOKA bora wa dunia, Lionel Messi amefunga mabao yote, Barcelona ikiilaza 2-0 Arsenal katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Emirates London.
Messi amefunga mabao hayo dakika ya 71 akimalizia pasi ya Neymar wakati la pili alifunga kwa penalti dakika ya 83, baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Mathieu Flamini.
Arsenal's Alex Oxlade-Chamberlain, making a rare start, missed a glorious chance as he shot  straight at goalkeeper Marc-Andre ter Stegen
Arsenal sasa watalazimika kupanda mlima katika mchezo wa marudiano mwezi ujao Uwanja wa Camp Nou kwa kushinda 3-0 ili kwenda Robo Fainali.

Striker Suarez connected with Alves cross with his head but his effort flashed wide of the goal when really it should have tested Petr Cech
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez katika harakati za kufunga langoni mwa Arsenal
 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA