Thursday 18 February 2016

MESSI AFUNGA GOLI LA 300,SUAREZ AKIKOSA LA 40, BARCELONA IKISHINDA 3-1

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao lake la 300 katika Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga dakika ya 25 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa El Molinon usiku wa leo. Messi alifunga pia la 301 dakika ya 31, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 67 ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo, huku la wenyeji likifungwa na Castro Garcia dakika ya 27.
Barcelona's Brazilian forward Neymar looks to find a route through the Sporting Gijon defence, who were kept busy throughout the match
Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiwahadaa mabeki wa Sporting Gijon katika mchezo huo
Suarez watches a good chance go begging but he managed to shrug off a later penalty miss to score his 40th La Liga goal for Barcelona
Mshambuliaji hatari wa Barcelona Luis Suarez akisikitika baada ya kukosa penati ambayo ingemfanya kufunga bao la 40 katika ligi kuu ya Hispania (La Liga)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA