Thursday 18 February 2016

UEFA: CRISTIANO , JESSE WAIONGOZA MADRID KUINYUKA AS ROMA NYUMBANI

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Radja Nainggolan wa AS Roma katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Itali. Real imeshinda 2-0 mabao ya Ronaldo na Jese Rodriguez.
Ronaldo celebrates with his captain Sergio Ramos and manager Zinedine Zidane after finally breaking the deadlock for his team
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane akishangilia goli alilofunga mshambuliaji Christiano Ronaldo,Kulia ni beki wa timu hiyo Sergia Ramos

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA