Sunday 7 February 2016

WAMECHOMOA !!!!! DIEGO COSTA AINUSURU CHELSEA KUZAMISHWA NA MAN U

Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuswazisha dakika ya 91 katika sare ya 1-1 na Manchester United Uwanja wa Stamford Bridge kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Man United walitangulia kupata bao kupitia kwa Jesse Lingard dakika ya 61.

Manchester united midfielder Jesse Lingard opened the scoring after a stunning turn and shot in the Chelsea penalty area
Kiungo wa Manchester United Jesse Lindgard akiachia mkwaju ulioipa timu yake uongozi wa mchezo kabla ya Costa kufunga bao la ukombozi


Germany international Mesut Ozil fired Arsenal in front in the 23rd minute with a powerful volley from inside the Bournemouth box
Oezil akipachika bao la kwanza

Ikiwa ugenini Arsenal imetoka Kifua Mbele kwa kupata ushindi wa bao mbili kwa nunge dhidi ya AFC Bournemouth. Mabao ya Arsenal yalipachikwa na Mesut Oezil pamoja na Alex Oxlade-Chamberlain katika kipindi cha kwanza.
Arsenal wide-man Alex Oxlade-Chamberlain leads the Gunners celebrations after giving the visitors a 2-0 lead inside 25 minutes 

Msimamo wa ligi baada ya mechi za leo


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA