Monday 14 March 2016

MARTIAL AINUSURU MAN U KOMBE LA FA,SASA KURUDIANA NA WESTHAM


Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 83 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku huu Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoa sare ya 1-1. 
The French midfielder curls a sublime effort past the outstretched De Gea to send the 9,000 travelling West Ham fans into party mode 

Both sets of players watch on as Payet prepares to run off in celebration before the ball even nestles in the net on Sunday afternoon
Bao la West Ham limefungwa na Dimitri Payet dakika ya 68 kupitia mpira wa adhabu uliopigwa kwa ustadi wa hali ya juu na sasa timu hizo zitarudiana kuwania kwenda Nusu Fainali ya michuano hiyo.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA