Sunday 27 March 2016

PAPA ASHTUMU ULAYA KWA KUWAPUUZA WAHAMIAJI

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa tabia za watu wa Ulaya za kuwapuuza wahamiaji, ni za kutia wasiwasi.
Katika sala za kuadhimisha siku ya aliyouawa mwanzilishi wa Imani ya Kikristo, Papa alisema kuwa Bahari zimegeuka kuwa mahali pa mazishi ya maelfu ya watu wanaohatarisha maisha yao kila siku kufika Ulaya.
Akihutubia waumini katika Roma, alishutumu tabia za kutumia dini katika kutekeleza visa vya ugaidi.
Wahamiaji
Aliwashutumu pia mabwenyenye wanaotengeneza na kuuza silaha katika juhudi za kuchochea ghasia ili wanufaike.
-BBC

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA