Saturday 26 March 2016

LUIS SUAREZ AFUNGA GOLI NA KULAZIMISHA SARE DHDI YA BRAZIL


Mshambuliaji Luis Suarez amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza na timu yake ya taifa tangu afungiwe kwa kumg'ata Giorgio Chiellini katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014.

Goli la Suarez liliisaidia Uruguay kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Brazil katika mchezo ambao wenyeji Brazil walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-0, kabla ya Edison Cavani kurejesha goli moja na Suarez kusawazisha la pili.
                             Renato Agusto akiifungia Brazil bao la pili katika mchezo huo
Wachezaji wa Barcelona Luis Suarez na Neymar wakikumbatiana kabla ya kuanza mchezo huo wa Brazil na Uruguay

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA