Sunday 10 April 2016

LA LIGA::JINAMIZI LA KIPIGO LAZIDI KUITESA BARCELONA

Barcelona imeendelea kutofanya vyema katika Ligi Kuu ya Hispania La Liga baada ya kufungwa na Real Sociedad bao moja bila na kupata mstuko katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi hiyo.

Baada ya Atletico na Real Madrid zote kushinda michezo ya jana, Barcelona ipo kileleni ikiongoza kwa tofauti ya pointi 3 dhidi ya Atletico na pointi nne dhidi ya Real Madrid huku ikiwa imebakia michezo sita ligi kuisha.

                  Neymar akijaribu kufanya vitu vyake lakini hata hivyo jahazi lilitota
   Maumivu ya kichwa huanza taratibu: Lionel Messi akishika kichwa baada ya Barcelona kupata kipigo

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA