Tuesday 5 April 2016

MH. MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA SABMILLER


SUB1
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SUB2
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrtin wa Kampuni ya Bia Tanzania (kulia) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SUB3
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrin ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa  Kampuni ya Bia Tanzania -TBL (kulia) ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA