Saturday 30 April 2016

MWILI WA MAMA LUCY KIBAKI KUWASILI KENYA JUMAPILI

Mwili Mama Lucy Kibaki ambaye ni mke wa rasi wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki utawasili kwa ndege Jijini Nairobi, ukitokea London alipofariki dunia akipatiwa matibabu.

Balozi wa Kenya nchini Uingereza Bw. Lazarus Amayo amesema mwili wa Mama Lucy Kibaki utaondoka kwa ndege siku ya Jumamosi Jijini London na kuwasili Jumapili alfajiri katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA