COPA AMERICA 2016::BRAZIL YATUPWA NJE NA KIKOSI KAZI CHA PERU
Kipa wa Brazil akilalamika kwa muamuzi wa mchezo Andres Cunha kupinga goli lililofungwa kwa madai kuwa mfungaji aliunawa mpira |
Peru inakwenda hatua ya mtoano, wakati Brazil inaaga mapema michuano hiyo
0 comments:
Post a Comment